Nampenda Lyrics
Mwenzako hoi taabani, mimi kwako sijiwezi, sijiwezi
Umenilisha kitu gani, nambie basi mpenzi, mpenzi
Mahaba yako si utani, yananilevya kishenzi, kishenzi
Umenikamata yani umenimaliza
Unanitosha mahabuba
Natamani nikuhonce dunia mpenzi
Angali siwezi
Unanijazia mapenzi gunia yananimwagikia onaa
Nambie nikufanyie nini mpenzi
Kuzirudisha fadhila ma baby oyeeh oyeehh
Acha nionnekane dhaifu
Penzi lake nimenyooshea mikono juu
Sio siri nampenda nampenda nampenda
Acha nionekane dhaifu
Penzi lake nimenyooshea mikono juu
Sio siri nampenda nampenda nampenda
Yeye tuuuu
Nikupende kama ni dodo basi mi nimeokota
Hujawahi hata siku kunilocha
Unanita my king
Nakuita my queen
Unanipenda mpaka naogopa
Tumetulia hatuna mbambamba
Hayatugombanishi mambo ya kishamba
Mi nakujua hunaga madanga
Kuruka ruka muchezo ya kamba
Natamani nikuhonge dunia mpenzi
Angali siwezi unanijazia mapenzi gunia
Yananimwagikia onaa
Nambie nikufanyie nini mpenzi
Kuzirudisha fadhila ma baby oyeeh oyeehh
Acha nionnekane dhaifu
Penzi lake nimenyooshea mikono juu
Sio siri nampenda nampenda nampenda
Acha nionekane dhaifu
Penzi lake nimenyooshea mikono juu
Sio siri nampenda nampenda nampenda
Yeye tuuuu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Nampenda (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
BEKA FLAVOUR
Tanzania
BEKA FLAVOUR real name Bakari Katuti is a musician from Tanzania. ...
YOU MAY ALSO LIKE