Mbali Lyrics

Baby, kanda limemeza deki
Unanichanganya siongei(Siongei siongei)
Simu imekata netweki
Napiga kwa ya bombe(Bombe bombe)
Kukusaliti ndopo mbaya(Mbaya)
Napata joto joto yaani hoi fire(Fire)
Usichoke na mi, nazama natoa
Kisimani ndo we kata natoa
Naona imenitight sana sisemi
Naona raha
Kwenye kona umenibana sishushi midani
Naona raha
Baby don't go(So far)
Ah yeah(So far)
Usiende mbali(So far)
Mbali(So far)
Baby don't go(Don't go)
Hoi kilimani
Zigo na basikeli
Hoi taabani
Nimezama kweli kweli
Yeye ni kiuno mi mkanda
Sichoki kupanda
Nikuna nazi naye na kikanga
Yaani bara, wanishangaza
Fanya kama unaleta
Naifuata mmh, naifuata
Naona imenitight sana sisemi
Naona raha
Kwenye kona umenibana sishushi midani
Naona raha
Baby don't go(So far)
Ah yeah(So far)
Usiende mbali(So far)
Mbali(So far)
Baby don't go(So far)
Eeeh(So far)
So far(So far)
Wouwo(So far...)
Baby don't go
Ayaya aya aah
Baby don't go
Ah lala..
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Mbali (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE