Almasi Lyrics

Mimi ni dhahabu, almasi
Labda nifungue Twitter na Facebook
Uone message zao
Pengine utapata wivu wa mapenzi
Usinitese
Maana nimekuwa nyama baridi
Umeniweka kwenye jokovu jipya
Wanihifadhi kwa mapenzi ya baadae
If you don't love now
Baby nakushangaa
Uniweke wazi na mapenzi bubu siwezi
Kila kiki ushakisa uchapisa
Ni kisa kwa visa yaani ni vita
Nakueleza ukweli wa moyo
Mimi ni dhahabu, mimi ni almasi
Usinitese tese ukidhani nitakosa
Mimi ni dhahabu, mimi ni almasi
Usinitese tese ukidhani nitakosa
Maulana afadhali
Niwe na moyo wa heri, makosa mie
Mengine nayaona kwa umbali
Naigiza sioni
Laiti ungejua, tamaa yangu sidhani ii
Ungeninyanyasa nyanyasa
Kwa kunifanya nijidharau
Mengi sana nimetuliza ndani
Ila hayabebeki
Ingekuwa ushindani ninge-surrender
Mengi sana tumesameheana
Ila haudhamini
Umegeuza upole wangu
Kwa sababu ya kuniumiza
Wajua naeza fanya yangu
Unavyofanya yako na mi nisikusumbue
Shukuru marafiki zako wananipa moyo
Nikuvumilie
Mimi ni dhahabu, mimi ni almasi
Usinitese tese ukidhani nitakosa
Mimi ni dhahabu, mimi ni almasi
Usinitese tese ukidhani nitakosa
Wajua naeza fanya yangu
Unavyofanya yako na mi nisikusumbue
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Almasi (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE