Home Search Countries Albums

Maombi Yangu-Timiza

SIFAELI MWABUKA

Maombi Yangu-Timiza Lyrics


Maombi yangu mungu nilimwambia aah
Maombi yangu mungu nilimueleza aah
Maombi yangu mungu nilimwambia aah
Maombi yangu mungu nilimueleza aah

Ombi la kwanza aah
Alikumbuke jina langu
Ombi la pili, anisamehe maovu yangu
Ombi la tatu, niwe na upendo kwa wote eeh
Ombi la nne aiponye nyumba yangu
Ombi la tano niwapende adui zangu
Ombi la sita asiniache pekeyangu (daima aah)
Ombi la kwanza aah
Alikumbuke jina langu
Ombi la pili, anisamehe maovu yangu
Ombi la tatu, niwe na upendo kwa wote eeh
Ombi la nne aiponye nyumba yangu
Ombi la tano niwapende adui zangu
Ombi la sita asiniache pekeyangu (daima aah)
Uh Baba aah

Wewe ni mungu usiyebadilika
Wewe ni Baba aah
Wewe usiyeaga
Wewe ni mungu usiyebadilika
Wewe ni Baba aah
Wewe usiyeaga
Wewe ni Alfa, tena na Omega
Wewe ni mwanzo, tena wewe ni mwisho
Uliyeumba aah, lakini wewe hukuumbwa
Wewe ni Alfa, tena na Omega
Wewe ni mwanzo, tena wewe ni mwisho
Uliyeumba aah, lakini wewe hukuumbwa

Timiza ahadi zako kwangu Baba aah
Timiza ahadu zako ulizoniahidi
Timiza ahadi zako kwangu Baba aah
Timiza ahadu zako ulizoniahidi
Uliniahidi nitabarikiwa amin
Uliniahidi Baba utaniinua amin
Uliniahidi Baba utaniponya aah, amin
Uliniahidi Baba utanipa mwenza wangu amin
Uliahidi Baba utanipa watoto amin
Uliniiahidi Baba utuanilinda aah amin
Uliniahidi Baba utakuwa pamoja nami amin ah aah
Baba yangu oh
Baba timiza aah aah
(Baba aah timiza)
Bado nina Imani na wewe
(Baba aah timiza)
Ahadi zako za kweli
(Baba aah timiza)
Uliniahidi utanibariki
(Baba aah timiza)
Uliniahidi utanitetea
(Baba aah timiza)
Uliniahidi utaniponya
(Baba aah timiza)

(Baba aah timiza)
Bado nina Imani na wewe
(Baba aah timiza)
Ahadi zako za kweli
(Baba aah timiza)
Uliniahidi utanibariki
(Baba aah timiza)
Uliniahidi utanitetea
(Baba aah timiza)
Uliniahidi utaniponya
(Baba aah timiza)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Maombi Yangu-Timiza (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

SIFAELI MWABUKA

Tanzania

Sifaeli Mwabuka is a gospel Musician from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE