No Body Lyrics
Sema wapi leo ?
Nikpe nini leo ?
Nieleze ipi leo utakula wapi leo
I want to say papaaa (papa)
You love make me crazy
The way you touch my body everything it’s okay
Mfano ukinitazama (zama)
Kama ndege tunaofanana (fanana)
Tujikaze tumalize (ujana)
Wakuite baba waniite (mama)
Nilishaumizwa usibandue bandeji kwako nimemaliza energy
Your love sweeter ukiwa kwa bed na ukiniita naitika babe
Me i don’t need no body
I don’t need no body
I don’t need no body
I don’t need no body
Kitu mahaba tiki
Umeushika mtima
Chini mpaka juu mimi
Hadi nashindwa kuhema
Ni kama njiwa wanarandana
Me nawe siafu twafatana
Hivi dhambi kwani kupendana
Sa mbona me nakupenda sana
Mfano ukinitazama (zama)
Kama ndege tunaofanana (fanana)
Tujikaze tumalize (ujana)
Wakuite baba waniite (mama)
Nilishaumizwa usibandue bandeji kwako nimemaliza energy
Your love sweeter ukiwa kwa bed na ukiniita naitika babe
Me i don’t need no body
I don’t need no body
I don’t need no body
I don’t need no body
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE