Ikune Lyrics

Unampenda basi muite
Acha uoga usisite
Na hicho kiuno mkamate
Mfuate ucheze na yeye
Kila mmoja yuko busy
Cheza slow usiniumize
Style zote zimalize
Zote ucheze naye
Unarudi nyuma unapanda mbele
Tikisa kiuno mbele mpaka nilewe
Mizuka ikipanda we piga kelele
Kwenye dance floor yeah yea
Mr Dj dondosha mangoma kama yote
Nataka kuruka mpaka kuche
Mr Dj, Mr Dj
Mr Dj dondosha mangoma kama yote
Nataka kuruka mpaka kuche
Mr Dj, Mr Dj
Iguse iweke, isugue sugue iweke
Iguse iweke, ikune kune iweke
Iguse iweke, isugue sugue iweke
Iguse iweke, ikune kune iweke
Watoto wazuri kama mimi
Wenye viuno kama feni
Wanakuchora kwa pembeni
Wanasubiri tu kuwaita
Rewind rewind rewind rewind
Bend down, bend down, bend down
Eey cheza angusha mgongo
Kuna wa vimini na kanga mko
Hiki kiuno feni na sio kokoto
Kama we ki-ben 10 kuja kushoto
Unarudi nyuma unapanda mbele
Tikisa kiuno mbele mpaka nilewe
Mizuka ikipanda we piga kelele
Kwenye dance floor yeah yea
Mr Dj dondosha mangoma kama yote
Nataka kuruka mpaka kuche
Mr Dj, Mr Dj
Mr Dj dondosha mangoma kama yote
Nataka kuruka mpaka kuche
Mr Dj, Mr Dj
Iguse iweke, isugue sugue iweke
Iguse iweke, ikune kune iweke
Iguse iweke, isugue sugue iweke
Iguse iweke, ikune kune iweke
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Ikune (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MIMI MARS
Tanzania
Mimi Mars ( Marianne Mdee) is a singer and song writer from Tanzania. ...
YOU MAY ALSO LIKE