Paparu Lyrics
Nakupa salamu
Uhali gani vipi haujambo
Sote binadamu
Yale ya nyuma tuweke kando
Vipi familia
Na yule ndugu yakow a kando
Nakukumbuka sana ah
Kipenzi funzi mitambo
Tangu uliponiacha nilidata
Siwakula kulala
Mingi mikasa, nikavunja pakacha
Nikakosa mbadala ooh tabu
Mimi napitia na mingi misala
Kweli iliniteka moyo
Uliniachia majeraha
Hivi umekwenda haurudi, paparu papa
Nambie ulifanya kusudi , paparu papa
Mimi nalia sina budi, paparu papa
Why ulifanya maamuzi, paparu papa
Najitafakari sipati lipi kosa
Nilikosaga sikukutimizia
Chumvi suraki sio haba ulichotaka
Ulipotaka nilikupatia eh
Inamaana mimi nilipenda wewe
Ukafanya makuzi eh wee
Hauko siriazi kweli mapenzi
Ni ushenzi ushenzi
Tangu uliponiacha nilidata
Si wakula kulala
Mingi mikasa, nikavunja pakacha
Nikakosa mbadala
Ooh tabu minapitia
Na mingi misala
Kweli uliniteka moyo
Uliniachia majeraha
Hivi umekwenda haurudi, paparu papa
Nambie ulifanya kusudi , paparu papa
Mimi nalia sina budi, paparu papa
Moyo ulifanya maamuzi, paparu papa
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Paparu (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE