Najidai Lyrics
Hivi unadhani mi ni shingapi
Toka juu chini nimevaa laki
Mi mwenyewe heavy material
Ukinitaka mbio kwenye kioo
Utafika bei ya vile mi nilivyo, nilivyo
Baka natesa mi nanata
Huwezi fika bei umechapa
Kitambi ya Mejja utahata, aha
Kiatu check check
Hata nywele check check
Kiuno chcck check
Ni bora tu utawezana
Kiatu check check
Hata nywele check check
Kiuno chcck check
Ni bora tu utawezana
Nijidai eeh, najidai najidai
Nijidai eeh
Nijidai eeh, najidai najidai
Hautafika bei tembeza bwana
Nijidai eeh, najidai najidai
Nijidai eeh
Nijidai eeh, najidai
[Mejja]
Nikikosa pesa nitapiga mboka
Manze kukufuata siwezi choka
Usinichoree juu ya kusota
Naona unajidai unaona mi sikai
Unaona sultan mi sifai
Kiasi nimechoka mi sina ganji
Lakini mi tajiri wa mapenzi
Sina pesa ya Olepolos, dinner
Lakini mami nitakupikia
Sina pesa ya kahawa hapo Java
Lakini Kosewe tutakula
Sponser anatesa lakini hafiki
Akikuja na pesa unakujia miti
Akipiga simu unasema am busy
Akiuliza uko wapi unasema in a meeting
Miti meeting, wapi meeting
Miti meeting, miti (Okwonko)
Kiatu check check
Hata nywele check check
Kiuno chcck check
Ni bora tu utawezana
Kiatu check check
Hata nywele check check
Kiuno chcck check
Ni bora tu utawezana
Nijidai eeh, najidai najidai
Nijidai eeh
Nijidai eeh, najidai najidai
Hautafika bei tembeza bwana
Nijidai eeh, najidai najidai
Nijidai eeh
Nijidai eeh, najidai
Najidai mi ndio supa dasa
Utaisoma namba
Lipi unatafuta utapata
(Asalale Sultan mwenyewe na Adasa)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Najidai (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
ADASA
Kenya
Adasa Dasa is fast rising artist from Kenya signed under Dallaz Records. Her first song o ...
YOU MAY ALSO LIKE