Home Search Countries Albums

Vimbada

JABIDII Feat. MOJI SHORTBABAA

Vimbada Lyrics


I go by the name Jabidii
Na Shortbabaa
Give me space
(Again Go Sevil)

1, 2, 3 Go!

Vimbada, vimbada, vimbada
Vimbada, vimbada, vimbada, vimbada
Energy(energy), synergy(synegy)

Ndio maana vimbada, vimbada, vimbada
Vimbada, vimbada, bada bada bada
Energy(energy), synergy(synegy)

Eey vimbada bad like a David
Wacha nguo ziraruke like a baby
Moji and Jabidii we drop dis a heavy
Increase the party, increase beiby

Wakiuliza, washow in Christ najibamba kabisa
Tell them najigamba kwa Jesus
When you think am bored, He has done for me
They blessings coming (Power!)

So nashukuru niko sawa 
So mi navimbada
Eey, nampa sifa kama kawa
So mi navimbada(Eeey...)

Vimbada, vimbada, vimbada
Vimbada, vimbada, vimbada, vimbada
Energy(energy), synergy(synegy)

Ndio maana vimbada, vimbada, vimbada
Vimbada, vimbada, bada bada bada
Energy(energy), synergy(synegy)

Eeh! Okey alright ni Shortbabaa
Eeh! Na ukinicheki hapa nimetoka far
Na kama huamini, unaweza uliza shosho
Vile alizunguka soko
Alafu tukaokoka, sa si watoto wa Sonko
Sa no worry ata ndogo

Vimbada, vimbada, vimbada
Vimbada, vimbada, vimbada, vimbada
Energy(energy), synergy(synegy)

Ndio maana vimbada, vimbada, vimbada
Vimbada, vimbada, bada bada bada
Energy(energy), synergy(synegy)

Attack the beast like Rambo Commando
-- don't make a scandal
Anytime you dance -- pride weka kando
They bitter not but we handle 
Me addi light the world 
So me like a candle 

We ni boy ama ni dada 
Ah tuna vimbada, vimbada
Uko kwa church ama kibanda
Tuna vimbada, vimbada

Ata mashosho wanavi-vimbada
Maboy na mabuda wanavi-vimbada
Ata ma odi na mapunk wanavi-vimbada
Kila mtu ana-vimbada

Vimbada, vimbada, vimbada
Vimbada, vimbada, vimbada, vimbada
Energy(energy), synergy(synegy)

Ndio maana vimbada, vimbada, vimbada
Vimbada, vimbada, bada bada bada
Energy(energy), synergy(synegy)

(Eyoo Sevil)
Shorti Babaa

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Vimbada (Single)


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

JABIDII

Kenya

Jabidii is a dancehall musician from Kenya ...

YOU MAY ALSO LIKE