Saa Moja Lyrics
On a Vintage clan
Eh man ah badman ting
Baba Otis, Baba Otis
Mbona unarausa kabla hujarauka
(Eeh eeh eeh Vintage)
(Acheni kuchezea watu wazee, aiii)
Kukuru, kukuru, kuku kakara (Rrraah!)
Na kajogoo kameleta muhathara (Rrraah!)
Shaghala, shaghala bhaghala (Rrraah!)
Comrade tialala...
Saa! Saa! Saa!
Saa moja, ni saa moja
Saa! Saa! Saa!
Saa moja, ni saa moja
Ona dem mmoja mweusi makara (Makara!)
Mi si babako unaita nani kijanaa (Kijanaa!)
Uliza nyanyako hizo marks shigana (Shigana!)
Okwonko ako na lines na ye kiparaaa
Na ka Jesus naeza kucross
Na ka ma one-on naeza kufloss
Na ka omo niko on toes
Ka tomato naeza kusos
Kukuru, kukuru, kuku kakara (Rrraah!)
Na kajogoo kameleta muhathara (Rrraah!)
Shaghala, shaghala bhaghala (Rrraah!)
Comrade tialala...
Saa! Saa! Saa!
Saa moja, ni saa moja
Saa! Saa! Saa!
Saa moja, ni saa moja
Sei kiganja, Ganja
Ganja, ganja, ganja
Baze tukibanja, banja
Banja, banja, banja
Duri iko na puncture ju ya ganja
Itabidi kikiraka sina hanjam
Kunyi iko na fracture after jamdown
Ulibonywa kwa kichaka uko handsome
Ndo utajua ni rapture, bila rabsha
Hurry hurry hurry chapchap, hurry chapchap
Mare mare mare hamsa, mare hamsa
Ficha nare kwa kinyasa nina answer
Kukuru, kukuru, kuku kakara (Rrraah!)
Na kajogoo kameleta muhathara (Rrraah!)
Shaghala, shaghala bhaghala (Rrraah!)
Comrade tialala...
Saa! Saa! Saa!
Saa moja, ni saa moja
Saa! Saa! Saa!
Saa moja, ni saa moja
Atoti! Toroka toroka
Polisi! Wamegoroka goroka
Na Oti, ana mochoka mochoka
Ugali, Kwamboka Kwamboka
Ti-ti, kumbe ilikuwa teargas
Polisi, shike kama stickers
Mpenzi alifyatia class
Ongeza tuki-minus ia plus
Kukuru, kukuru, kuku kakara (Rrraah!)
Na kajogoo kameleta muhathara (Rrraah!)
Shaghala, shaghala bhaghala (Rrraah!)
Comrade tialala...
Saa! Saa! Saa!
Saa moja, ni saa moja
Saa! Saa! Saa!
Saa moja, ni saa moja
Tinga tinga siasa za Raila
Timba Timba lagunya Caterpilla
Chete daggar ni mi nakatika
Benzema husugua fimbo na mafuta ya kupika
Ndu, ndu, ndukulu
Kemba sanse tunatoka puthu tu
Chu chu, chubulu
Hivi ndo ki huzama kwa ubongo tu
Kukuru, kukuru, kuku kakara (Rrraah!)
Na kajogoo kameleta muhathara (Rrraah!)
Shaghala, shaghala bhaghala (Rrraah!)
Comrade tialala...
Saa! Saa! Saa!
Saa moja, ni saa moja
Saa! Saa! Saa!
Saa moja, ni saa moja
Ashy amka bana, tunadai ku-record bana!
Ashy amka bana ku-record bana!
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Saa Moja (Single)
Copyright : (c) 2020 Wanati.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
VINTAGE CLAN
Kenya
Vintage Clan is a group of four upcoming artists from Langata, Nairobi Kenya. Vintag ...
YOU MAY ALSO LIKE