X
Nyamaza remix Lyrics
Vurugu za nini tulia japo tuongee
Uzima wa mwili na akili tuongelee
Mbona yalipita mengi ukitaka nipotee
Sasa umepata nini na ulisema nini wala usijitetee
Macho hayana pazia
Nilimwona akanivutia
Naekani kubalia
Kumbe moyoni uliumia
Dunia imejaa visanga
Ubinadamu umesha uchanga
Tembo umefugwa kwa Banda
Anataka Kula kuku kwa vifaranga
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Nyamaza remix (Single)
Added By : Olivier Charly
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE