Tubanane Lyrics
Vipi mwenzangu vimeseji kila saaa
Na matusi ya kutomasa (Ayee ayee)
Eti Imekula kwangu na yuko kwangu kila saa
Anachotaka anakipataa eeh ae ae
Simlazimishi ananipenda aah
Ananogewa na yangu mapishi amesurrender ah aaah
Mbali hawezi kuishi mi nampenda aah aaaah
We tepe maji tikiti, kachagua kukuhama aaah
Nimefall in love (Dede)
Chikala mulumangu (Dede)
Anatapatapa aah (Dede)
Aaaah simuachi (Acha Tubanane)
Ya nini tubishane bishane juu yake (Acha Tubanane)
Sibanduki ata kwa pini nimekita mizizi (Acha Tubanane)
Acha nimbebe adeke eeeh (Acha Tubanane)
Ni ukubali matokeo oooh
We mwenzangu nimekushinda ujuzi
Kungwi wako nani? Nimempiku ujuzi
Mapenzi si hirizi utamaliza vijiji
Sina mpinzani kauchimbe tena mzizi eeehh
Simlazimishi ananipenda aah
Ananogewa na yangu mapishi amesurrender ah aaah
Mbali hawezi kuishi mi nampenda aah aaaah
We tepe maji tikiti, kachagua kukuhama aaah
Nimefall in love (Dede)
Chikala mulumangu (Dede)
Anatapatapa aah (Dede)
Aaaah simuachi (Acha Tubanane)
Ya nini tubishane bishane juu yake (Acha Tubanane)
Sibanduki ata kwa pini nimekita mizizi (Acha Tubanane)
Acha nimbebe adeke eeeh (Acha Tubanane)
Ni ukubali matokeo oooh
Nimefall in love (Dede)
Chikala mulumangu (Dede)
Anatapatapa aah (Dede)
Aaaah simuachi (Acha Tubanane)
Nimefall in love (Dede)
Chikala mulumangu (Dede)
Wa Mwangala yuyuuu (Dede)
Henda vino, henda vino (Henda vino)
Henda vino, henda vino (Henda vino)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Tubanane (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
ADASA
Kenya
Adasa Dasa is fast rising artist from Kenya signed under Dallaz Records. Her first song o ...
YOU MAY ALSO LIKE