Home Search Countries Albums

Mabilioni Ya Watu

ZORAVO

Mabilioni Ya Watu Lyrics


Mabilioni ya watu
Yatakusanyika
Kusifu na kukuabudu
Mfalme wa wafalme
Mabilioni ya watu
Yatakusanyika
Kusifu na kukuabudu
Mfalme wa wafalme

Maelfu na maelfu
Yatashuka mbele zako
Yakiimba
Wimbo mpya
Halle, halleluyah
Maelfu na maelfu
Yatashuka mbele zako
Yakiimba
Wimbo mpya
Halle, halleluyah

(Mabilioni ya watu
Yatakusanyika
Kusifu na kukuabudu
Mfalme wa wafalme
Mabilioni ya watu
Yatakusanyika
Kusifu na kukuabudu
Mfalme wa wafalme
Mabilioni ya watu
Yatakusanyika
Kusifu na kukuabudu
Mfalme wa wafalme
Mabilioni ya watu
Yatakusanyika
Kusifu na kukuabudu
Mfalme wa wafalme)

(Maelfu na maelfu
Yatashuka mbele zako
Yakiimba
Wimbo mpya
Halle, halleluyah
Maelfu na maelfu
Yatashuka mbele zako
Yakiimba
Wimbo mpya
Halle, halleluyah
Maelfu na maelfu
Yatashuka mbele zako
Yakiimba
Wimbo mpya
Halle, halleluyah)

Halle, halle, halle
Halleluyah
Halle, halle, halle
halleluyah
Halle, halle, halle
halleluyah
Halle, halle, halle
halleluyah

(Halle, halle, halle
halleluyah
Halle, halle, halle
halleluyah
Halle, halle, halle
halleluyah
Halle, halle, halle
Halleluya
Halle, halle, halle
Halleluyah)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Mabilioni Ya Watu (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

ZORAVO

Tanzania

Harun Laston aka Zoravo is a singer, songwriter, worshipper & minister  from Tanz ...

YOU MAY ALSO LIKE