Home Search Countries Albums

Daresalama Outro

YOUNG DEE

Daresalama Outro Lyrics


Nimewatisha tu wameacha kurapa
Saivi wanasali ati baba tusamehe
Nimeshapiga hatua siwezi kushinda tu maskani
Hii nafasi sichezei

Kila nikitaka kuwa single tu
Napatanga dem
Mi nilitaka kuwa simple tu
Nikapata natrend

Sometimes naenda chimbo tila natrend
Bila single ni kesho kila weekend

Basi wanahate, mi huku namake
Ukinitukana sisomi comment (Nop)
We tukana kauze gazeti
Ila tukikutana bora utajibu kesi

Nijiongeze sound 
Young Jeezy in the house 
Si analeta jau, huyu mtoe out
Unataka show na nyau
Basi ongeza dau
Na ka nimekusahau usione nadharau

Basi wanahate, mi huku namake
Ukinitukana sisomi comment (Nop)
We tukana kauze gazeti
Ila tukikutana bora utajibu kesi

Basi wanahate (Oooh) 
Watu wanahate (Woo)
Basi wanahate (Oooh) 
Watu wanahate hate hate

Si tuna bang, si tuna bang
Si tuna bang, si tuna bang
Si tuna bang bang bang 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Daresalema Outro (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

YOUNG DEE

Tanzania

YOUNG DEE  is a recording artist and rapper from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE