Wangapi? (Amapiano) Lyrics

Nashindwa kuelewa adhabu
Naona ngekewa maajabu
Nimechelewa
Sijaelewa nahisi kudata
Nikilewa naishia kubwata aah ah
Nilidhani kwamba we ni wangu
Kumbe umetupanga kama fungu
Chagua moja unampenda nani
Hatuwez wote tukakuweka ndani
Utapenda Wangapi?
Kaa na nani nani
Baki tuu na Mimi eeh
Na mii iii oohh
Wangapi ngapi
Utazaa na nani nani
Baki tu na Mimi babe
Na mii iiii
Ooh oh yeah
Mimi ndio yule akupendae
Na tena bure nilikupenda we
Sikujua una msululu
Mambo yako ni vululu
Mi mwenzako mi kunguru
Naogopa
Ukibaki na yule mi sitaki
Babe I wanna be your number one
Wasikugusee
Wasikuchezee
Mimi ntatulia
Uuooo ooh ooh ooh yeah
Nilidhani kwamba we ni wangu
Kumbe umetupanga kama fungu
Chagua moja unampenda nani
Hatuwez wote tukakuweka ndani
Utapenda Wangapi
Kaa na nani nani
Baki tuu na mimi eeh
Na mii iii oohh
Wangapi ngapi
Utazaa na nani nani
Baki tu na mimi babe
Na mii iiii
Ooh oh yeah
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Wangapi? (Amapiano) (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
IBRAH NATION
Tanzania
Ibrah Nation is a recording artist, song writer and composer from Tanzania. ...
YOU MAY ALSO LIKE