Doh Salaleh Lyrics
Doh salaleh
Nimeachwa
Doh doh nimepigwa kibuti
Eti kisa jana nimelala na nguo
Anataka mapenzi kwa mkupuo
Anasema sijui ku handle
Nikajifunze chuo mmmh nimeachwa
Anantesa nampenda
Japo rangi yake ka jaluo
Asubuhi mchana usiku mizagamuo
Mi siwezi nimeachwa
Natamani nilewe
Ila sa nikilewa pombe nazo zinadhuka chini
Nami sina wa hubani n’tafanya nini
Yalah weh
Doh salaleh
Nimeachwa
Doh doh nimepigwa kibuti
Doh salaleh
Nimeachwa
Doh doh nimepigwa kibuti
Ayana urafiki mapenzi (ooh mapenzi)
Ayana ushikaji mapenzi (ooh mapenzi)
Magodoro yamelowana
Ayana afadhali mapenzi (ooh mapenzi)
Huku wangu sio shwari mapenzi (ooh mapenzi)
Magodoro yamelowana
Ndani apalariki
Natamani nilewe
Ila sa nikilewa pombe nazo zinadhuka chini
Nami sina wa hubani n’tafanya nini
Yalah weh
Doh salaleh
Nimeachwa
Doh doh nimepigwa kibuti
Doh salaleh
Nimeachwa
Doh doh nimepigwa kibuti
Doh salaleh
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2023
Album : Doh Salaleh (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
PHINA
Tanzania
Saraphina Michael, popularly known as PHINA is a reecording artist from Tanzania. ...
YOU MAY ALSO LIKE