Mama Lyrics

Mama kaniambia mwanangu kuwa na adabu
Si kila king'aacho ni dhahabu mmh
Chema kishike kibaya kituupe,usijetoka mapunye
Usije fanya ubaya ufumwee, mwananguu
Mabaya kataa kubali mema mwanangu,upate radhi ya dunia
Peleka ubaguzi wa rangi kwenye nguo na sio kwa watu
Ukipata ukikosa mshukuru Mungu cha mtu ni suumu binadamu hatufananii (iyeiyeiye)
Ulichopata kidogo weka mafungu na umwombe Mungu mioyo yetu hailinganiii
Kasema mama (mamaaaa)
Kaniambia mama yanguu (mamaaaa)
Kasema maaaamaaa(mamaaaaa)
Kaniambia mama yanguuuuuuuu (mamaaaa)
Kasema maaaaaaaaaaaaaa
Shika kalamu andika mazuriii
Na achaga kiburiiiiii
Domo lako lifunge kufuri,na usiwe jeuri
Naa jitume shughuli (Mwanangu) aah
Sitaki zogozogo,fyokofyoko, dokodoko,lopolopo
Yaliyobusara yachukue (hee), kitanda chaga ufungue
Usije tukana mwanangu uumie, hali ya maisha uvumilie
Ulizaliwa unalia dunia mapambano uwanja wa vita
Epuka chabo kuchungulia, utaishia gerezani ukichukiwa
Acha kelele,acha mawenge, acha mapepe,heshimu yulee
Kasema mamaa (mamaaa)
Kaniambia mama yangu (mamaaa)
Kasema maaaaamaaa (mamaaa)
Kaniambia mama yanguu (mamaaaa)
Kasema maaaaaaaaaaa
Kasema mamaa (mamaaa)
Kaniambia mama yangu (mamaaa)
Kasema maaaaamaaa (mamaaa)
Kaniambia mama yanguu (mamaaaa)
Kasema maaaaaaaaaaa
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Mama (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE