Uwapende Sana Lyrics
Ondoa mashaka eeh, leo sio juzi
It doesn't matter yaaya yeah yeah
Kikubwa pumzi, keep moving
It doesn't matter yaaya yeah
Unachotaka usisahau ukikipata
Ukipata usisahau kunao
Kumbuka ni Mungu juu ya vyote
Tazama juu, utaiona nuru
Baba God, Baba God, Baba God
Baba God Jerusalema
Yaya yeah, na uwapende sana wee
Na uwapende sana wee, yaya yeah yeah
Yaya yeah, na uwapende sana wee
Na uwapende sana wee, yaya yeah yeah
Mpatie chumvi jirani
Usisubiri shukurani
Usiwe kikisirani
Ukayaweka moyoni kifuani
Cha mwengine usitamani
Hatuwezi kufanana
Ndivyo ilivyo duniani
Jitihada tafuta utapata
Unachotaka usisahau ukikipata
Ukipata usisahau kuna o
Kumbuka ni Mungu juu ya vyote
Tazama juu, utaiona nuru
Baba God, Baba God, Baba God
Baba God Jerusalema
Yaya yeah, na uwapende sana wee
Na uwapende sana wee, yaya yeah yeah
Yaya yeah, na uwapende sana wee
Na uwapende sana wee, yaya yeah yeah
Yaya yeah, na uwapende sana wee
Na uwapende sana wee, yaya yeah yeah
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Uwapende Sana (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE