Upepo Wa kisulisuli Lyrics
Upepo unapepea
Sulisuli suli, eeeh suli suli
Hauachi una kombeleko
Sulisuli suli, iyee suli suli
Haunaga kumbembeleza
Sulisuli suli, eeh suli suli
Ukikupata umependelewa
Sulisuli suli, suli suli
Wakivujisha vifoto vya utupu
Kujisnap kuonyesha vikuku
Hawana lolote ni wizi mtupu
Upepo utawapitia
Wanapenda kiki kiki(Wale)
Wanaposti wakijigi jigi(Wale)
Hawatembei bila wiggy(Wale)
Aah upepo utawapitia
Wale wanaotaka kuolewa
Wapite mbele
Wafanya biashara imegoda
Wapite mbele
Wale wanaotaka kuolewa
Wapite mbele
Wafanya biashara imegoda
Wapite mbele
Unapepea
Sulisuli suli, eeeh suli suli
Hauachi una kombeleko
Sulisuli suli, iyee suli suli
Haunaga kumbembeleza
Sulisuli suli, eeh suli suli
Ukikupata umependelewa
Sulisuli suli, suli suli
Uchaguzi umekaribia(Karibia)
Walojipanga kuiba kura utawapitia(Pitia)
Upepo unavuma kushoto kulia(Kulia)
Wenye ila mbaya wote watatumbukia(Tumbukia)
Upepo utawapitia
Wale wanaotaka kuolewa
Wapite mbele
Wafanya biashara imegoda
Wapite mbele
Wale wanaotaka kuolewa
Wapite mbele
Wafanya biashara imegoda
Wapite mbele
Unapepea
Sulisuli suli, eeeh suli suli
Hauachi una kombeleko
Sulisuli suli, iyee suli suli
Haunaga kumbembeleza
Sulisuli suli, eeh suli suli
Ukikupata umependelewa
Sulisuli suli, suli suli
Upepo unapepea
Sulisuli suli, eeeh suli suli
Hauachi una kombeleko
Sulisuli suli, iyee suli suli
Haunaga kumbembeleza
Sulisuli suli, eeh suli suli
Ukikupata umependelewa
Sulisuli suli, suli suli
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Upepo Wa kisulisuli (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE