Hello Lyrics

Nalikumbuka tabasamu
Ucheshi na upole wake
Siamini kama yalikuwa ulaghai
Na yale mambo matamu
Nikazama kwenye penzi lake
Kweli bado nampenda sikatai
She was my heart, my pain
My star, my vain
Ooh no no no
Nilikolea yeey
Sikuwa na say
Ooh no...
Namkumbuka
Ila imebaki historia
Moyo wangu bado uko kwake
Ladha ya taji rudi aah
Hello! Hello ma, nisikie
Hello! Namba yangu ile ile nipigie
Hello! Hello ma, nisikie
Hello! Sema nikufuate wapi niambie
Tuliingiana ila sijui aliponyoka
Je? Gwanda la buti la kisoja aisee
Nafsi na mioyo, akili na mongo
Naumia mazima nikimwaza beiby
So maradhi ya hospitali, huko yashavuka
Uchizi si uchizi ilimradi nimevurugwa
Nasema na nafsi, hainielewi nimeng'ang'ana
Naambia moyo kuwa umetoswa unapambana
Nimemsubiri atanimiss na atarudi, wapi?
Huko alipo walomwiba ampepee kibasi
Arudi akumbuke mapenzi, asisahau nilimpenda
Bado yupo na mimi kiroho hana pa kwenda
So Romeo, namtafuta Julieti wangu
Nimempoteza tangu, unagaagaa moyo wangu
Nyusi tatizo ni tatizo kama haliwezi kutatuka
Ila sivyo ni changamoto ju mwisho wake tutapata
Hello! Simu nilipoteza ila namba sikubadili
So beiby call me
Hello! Mwenzako wangu wango ka nimesomewa albadiri
So beiby call me, Hello!
Hello! Hello ma, nisikie
Hello! Namba yangu ile ile nipigie
Hello! Hello ma, nisikie
Hello! Sema nikufuate wapi niambie
Pengine ni akili za ujana
Penzi letu kalipiga danadana na
Sijui kisa nini mpaka uninunie
Yeah ooooh..
Hofu yangu usipate bwana
Ukaniachia nywele nawe na kitama ma
Nasubiri simu yako nipigie
Hello! Hello my love, my love
Hello! Oooh call me my love, my love
Hello! Namba ile ile my love, my love
Hello! Call me my love, my love
Hello! Hello, hello....
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Hello (Single)
Copyright : (c) 2019 Rockstar Music
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
OMMY DIMPOZ
Tanzania
Born on September 1987 in Dar Es Salaam, Omary Faraji Nyembo, better known as Ommy Dimpoz, is a reco ...
YOU MAY ALSO LIKE