Umerogwa Lyrics

Umerogwa, umerogwa (Hauko sawa)
Umerogwa, umerogwa (Hauko sawa)
Umerogwa, Umerogwa (Hauko sawa)
Umerogwa, umerogwa (Umepagawa hauko sawa)
Dada unataka kudanga una sura ya baba (Umerogwa)
Unaenda msikitini shingoni msalaba (Umerogwa)
Unafosi cheo makazini umeishi hela saba (Umerogwa)
Unatutamia kwa pesa ya kupokea vikoba (Umerogwa)
Mganga masikini we ndo akupe utajiri (Umerogwa)
Eti oh pisi kali unang'olewa kwa savana mbili (Umerogwa)
Deni la 2020, unanidai 2021 (Umerogwa)
Mbona umenirequest hupatikani hewani (Umerogwa)
Pesa za kwangu mbona matumizi unanipangia (Umerogwa)
Mafaninikio kidogo tu, hee unaninunia (Umerogwa)
Umerogwa, umerogwa (Hauko sawa)
Umerogwa, umerogwa (Hauko sawa)
Umerogwa, Umerogwa (Hauko sawa)
Umerogwa, umerogwa (Umepagawa hauko sawa)
Maneno mengi tukiangiza tungi bill unakimbia (Umerogwa)
Mtumishi wa bwana akianza mahubiri church unasinzia (Umerogwa)
Unanifuatilia kisa nimesema nakupenda pia (Umerogwa)
Sorry my dear najua uanidai nitakupigia (Umerogwa)
Unajisifia mpenzi wako kumbe anakupigia (Umerogwa)
Umerogwa, umerogwa
Umerogwa, umerogwa
Umerogwa, Umerogwa
Umerogwa, umerogwa
Umerogwa, umerogwa (Hauko sawa)
Umerogwa, umerogwa (Hauko sawa)
Umerogwa, Umerogwa (Hauko sawa)
Umerogwa, umerogwa (Umepagawa hauko sawa)
Kaziona bia, kazifakamia mpaka kazima
Anaropoka ropoka hana haya mtu mzima
Haya we tawile tawile
Haya we tawile tawile
Haya we tawile tawile
Haya we tawile tawile
Tawile tawile
Haya we tawile tawile
Haya we tawile tawile
Haya we tawile tawile
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : umerogwa (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
BEKA FLAVOUR
Tanzania
BEKA FLAVOUR real name Bakari Katuti is a musician from Tanzania. ...
YOU MAY ALSO LIKE