Home Search Countries Albums

Taifa Stars

WYSE

Taifa Stars Lyrics

Mwendo mdundo, mwendo mdundo
Mwendo mdundo

Tanzania nchi yangu
Taifa Stars chama langu
Tuna nia, tuna nguvu
Vipaji mashuhuri wachezaji shupavu

Tusapport timu yetu
Kwenye shida na raha
Wabeba bendera yetu
Wawakilishi wa taifa

Kwani wao hawawezi wana nini?
Na sisi tushindwe tuna nini?
Taifa Stars Tanzania 
Ndo kiboko yao

Kwani wao hawawezi wana nini?
Na sisi tushindwe tuna nini?
Taifa Stars Tanzania 
Ndo kiboko yao

Taifa Stars, mwendo mdundo
Wanajeshi wetu mwendo mdundo
Taifa Stars, mwendo mdundo
Ni wakati wetu mwendo mdundo

Wachezaji mjitoe kwa nguvu na jasho lenu
Kupigania taifa nyi ndo mashujaa wetu

Mohammed Hussein twende
Aishi Manula twende
Bakari Mwamnyeto twende
Vaeni ngwanda tuondoke

Shamu Nchimi twende
John Boko twende 
Fei Toto twende
Chimbeni gwanda tuondoke

Erasto Nyoni twende
Saidi Ndemla twende
Dickson Jobu twende 
Vaeni gwanda tuondoke

Hussein Kaseke twende
Lucas Kikoti twende
Falid Musa twende 
Chimbeni gwanda tuondoke

Adamu Adamu twende
Juma Kaseja twende
Shomari Kapombe twende 
Vaeni gwanda tuondoke

Minidimo twende
Mwana Samatta twende
Simon Msuva tuondoke  
Chimbeni gwanda tuondoke

Taifa Stars, mwendo mdundo
Wanajeshi wetu mwendo mdundo
Taifa Stars, mwendo mdundo
Ni wakati wetu mwendo mdundo

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Taifa Stars (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

WYSE

Tanzania

Wyse is a singer/songwriter from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE