Huu Mwaka Lyrics
Huu mwaka eeh
Ndo mwaka wakufosi
Yani mtake msitake
Huu mwaka mtanita boss
Oya sieti eeh
Mmmh
Chuii
Onanana
Ooooh
Huu mwaka eeh
Ndo mwaka wakufosi
Mtake msitake mtaniita boss
Huu mwaka eeh, wa faida sio loss
Tushalala njaa huu mwaka mwendo wa misosi
Sisi mungu, anatulinda
Japo maadui wengi wanatuwinda
Vita nyingi, ila tutashinda tushanyanyasika
Huu mwaka mwendo wa kuvimba eeeh
Huu mwaka nanunua gari niwane lifti (amen)
Huu mwaka namaliza nyumba yangu kibiti
Huu mwaka wa machozi kwa ex alienisaliti
Siku ya harusi yangu msimpe hata juisi anikomee
Huu mwaka eeeh
Huu mwaka eeeh
Huu mwaka eeeh
Huu mwaka eeeh
Huu mwaka eeh
Ndo mwaka wakufosi
Yani mtake msitake mtanii boss
Huu mwaka eeeh
Huu mwaka eeeh
Huu mwaka eeeh
Huu mwaka eeeh
Kwanza nashukuru tumevukaka, tumeuona
Yale yaliyo pita, yametukomaza
Oya wanangu wa boda boda
Wakina mama wauza mboga
Ata wachawi wabeba nyota
Huu mwaka ni wetu
Kama unadanga danga sana
Ila usisahau ku meki bwana
Uje kujenga kakibanda
Nawe uwe na kwenu
Na ukipata limama eeeeh
Likomoe, likupe pesa
Huu mwaka utoboe
Oya usikae kizembe, na usichague jembe
Kama mkulima lima, kama unaimba imba utoboe
Huu mwaka eeeh
Huu mwaka eeeh
Huu mwaka eeeh
Huu mwaka eeeh
Huu mwaka eeeh
Huu mwaka eeeh
Huu mwaka eeeh
Huu mwaka eeeh
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE