Ubani Lyrics

Daroon
Ubani Ubani ubani
Ubani ubani ubani
Ubaanii wa ubani ubani ubani ubani
Noooooh
Nakupenda kwel si utani kutoka moyoni weeh ndo wangu tabibu
Sina roho ya shetwani kukuweka motoni kwanza spendi upate tabuu
Walisema mengi Eti mimi sifai kuwa naweee Yeeeeh
Kisa Sina shiringi wakuteke tuu wawe Nawe
Ila Mungu ni mkubwa sana kabariki penzi mpaka tunapendana
Naona hii ni kama karama hatuachani mpaka kesho milele kiama
Aaaah Maidia sweet Niamni kamwe sitokusariti
Oooh nooh Yeeh
Uchafu nishadiliti nataka Kuona penzi linakua Fiti Oooh Nooh
Ubani Ubani Wangu wa Ubani
Ubani Ubani Wangu wa Ubani
Uba uba Ubani wangu wa Ubani
Uba Uba Ubani wangu wa Ubani
Nnoooo Noooooh
Nooooo ooooooh
Ooh kimwali mi nakupenda, Ukiniacha mbali minitakondaaa
Wahalali mi nishasalenda
Kwa penzi tamu tamu kwako nalipendaaa
Usiniukumu usinilaumu kwa penzi lako ushanipa sumu
Njoo unipe Tamu penzi lidumu Maana wewe kwangu ni adhwimu
My dear sweet Niamini kamwe sitokusariti Oooh nooh Yeeh
Uchafu nisha delete nataka Kuona penzi linakua Fiti Oooh Nooh
Ubani Ubani Wangu wa Ubani
Ubani Ubani Wangu wa Ubani
Uba uba Ubani wangu wa Ubani
Uba Uba Ubani wangu wa Ubani
Wangu wa Ubani
Ubani Ubani Ubani ubaaniii
Daroon
Totoz nation
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Baraka Bakari Mkande
SEE ALSO
AUTHOR
Daroon
Tanzania
Names: Abubakar Hossein Ngogo Also Known As Daroon Record Label: Totoz Nation Genre: High-life and ...
YOU MAY ALSO LIKE