Nakaza Mwendo Lyrics
Nafurahia mateso yangu
Ujapo haribika mwili huu
Tapata mwingine kwa baba
Nakaza mwendo nifike mbinguni
Nayakabidhi maisha kwa bwana
Nikauone uzuri wa bwana
Tabu na matatizo hakuna
Kiu wala njaa hakuna
Kabisa aah
Lakini mji ule taa yake
Ni mwana kondoo
Milele mji ule hauhitaji
Jua wala mwezi
Najua kwishi kwangu ni Kristo
Kufa ni faida
Lakini waongo na wazinzi
Hawataingia
Wanaowaabudu sanamu
Hawataingia
Najua kwishi kwangu ni Kristo
Kufa ni faida
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2017
Album : Nakaza Mwendo (Album)
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE