Home Search Countries Albums

Ngongingo

TUNDA MAN

Ngongingo Lyrics


Woiyoo, woiyoo woiyoo

Kunywa mama usiwaze
Gari la benki limedondoka humu
Mhudumu meza jaza
Usichanganye bia, usije tengeneza bomu

Mzuka ukipanda baby zungusha(zungusha)
Mzuka ukipanda mama tingisha(tingisha)
Mzuka ukipanda beiby katika 
Katika katika, mpaka nidate

Unavyo nioshanga
Mauno kama Lady Gaga
Toto la kichaga
Mtamu kama embe za kibanda

We usipige firimbi 
Utaita wengi baby girl
Hili chimbo la manati 
Masai hajengi kabisa Ha!

Habara shuga mama kazaliwa, kanga
Mgodi umetema ruksa mama kujigamba
Wamama walewe watuambie tukacheza vanga
Eeeh bwana koko makundi nitadanga

Pesa huna(Vyako)
Gari huna(Vyako)
Na sura nzuri huna
(Watoto wazuri utawaita shemeji)

Pesa huna(Vyako)
Gari huna(Vyako)
Na sura nzuri huna
(Watoto wazuri utawaita shemeji)

Woiyoo, woiyoo woiyoo
Woiyoo, woiyoo woiyoo

Huyu mtoto ana stimu za gati
Ana mikogo na sio wa masaki
Akitembea, nyonde nyonde, nyonde nyonde
Na anaokotea, punje punje, punje punje

Pata linaenda na hana salio
Pesa uno sizingua wenzio
Ka hire bila makalio
Huna kitu dozi kisingizio

Toto ngongingo
Akipita utavunja shingo
Ha! Mbabe wa ulingo
Sarakasi za kuvunja shingo

We usipige firimbi 
Utaita wengi baby girl
Hili chimbo la manati 
Masai hajengi kabisa Ha!

Habara shuga mama kazaliwa, kanga
Mgodi umetema ruksa mama kujigamba
Wamama walewe watuambie tukacheza vanga
Eeeh bwana koko makundi nitadanga

Pesa huna(Vyako)
Gari huna(Vyako)
Na sura nzuri huna
(Watoto wazuri utawaita shemeji)

Pesa huna(Vyako)
Gari huna(Vyako)
Na sura nzuri huna
(Watoto wazuri utawaita shemeji)

Oooh Chief Kiunga weh
(Watoto wazuri utawaita shemeji)
Aaah Mr Selekta
(Watoto wazuri utawaita shemeji)

Oooh Senoza
(Watoto wazuri utawaita shemeji)
Aaah Musa Rabaz wee
(Watoto wazuri utawaita shemeji)

Aaah fundi mnajibu migomba 
(Watoto wazuri utawaita shemeji)
Woyoo woyoo guta la Wizzy ooh
(Watoto wazuri utawaita shemeji)

Woiyoo, woiyoo woiyoo

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Copyright : All rights to the owner.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

TUNDA MAN

Tanzania

Tunda Man is a Bongo flava artist from Tanzania. He is a member of the music group called Tip T ...

YOU MAY ALSO LIKE