Home Search Countries Albums

Forget

TUNDA MAN

Forget Lyrics


Beiby mbona unayumba
Niko bize na itikali mi nasaka mavumba
Hunny mie mchumba
Huenda nikipata salary tutajenga hata nyumba

Wacha mi nihangaike
Kukikucha niteseke
Hali ngumu nimenyeke
Na ikibidi nidhalilike
Alafu kisha utaforget

Walahi utaforget
Nikizipata my beiby utaforget
Walahi utaforget
Nikizipata my beiby utaforget

Wacha niseme no one like you
Unanipa taabu
Mi napata ghadhabu
Nikiuza samaki kwa klabu
Kuna mengi unayohitaji na hupati
Na bado unanipenda kwa dhati

Wacha mi nihangaike
Kukikucha niteseke
Hali ngumu nimenyeke
Na ikibidi nidhalilike
Alafu kisha utaforget

Walahi utaforget
Nikizipata my beiby utaforget
Walahi utaforget
Nikizipata my beiby utaforget

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Forget (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

TUNDA MAN

Tanzania

Tunda Man is a Bongo flava artist from Tanzania. He is a member of the music group called Tip T ...

YOU MAY ALSO LIKE