Teveva Lyrics
Maisha bila yesu kitenda wili nitawezanaje
Ilhali nimezungukwa na pingamizi kilamahali
Nikiwa nawe ni sure bet
Weh ni kinga siwezi fret
Nikiwa na yesu ndani, Anatembea nami
Nikiwa Hapo uweponi mwako nakufa ganzi
Kwa nyumba yako heri nikuwe kijakazi
Kama itanilazimu nifunge lango
Mimi bora niwe hapo, Uweponi mwako me nimekamilika
Nitateveva bila wehhh, Wema wako
Usiniwache kila day,nitembee na we...we...we
Nitateveva bila wehhh, Wema wako
Usiniwache kila day,nitembee na we...we...we
Nikiwa solo sitoboi, naisema wazi
Bila weh hata na masilver na ugoro bado niko empty
Na kama baridi ya Tigoni, Haimalizwi na kikoi
Hivo ndivo me huwanga bila wewe, me hubaki hoi
Ndio maana utanipata uweponi mwako nikimiminika
Vile ulipendaga mtu kama mimi manze hunitisha
Macho yako yako kote mimi wapi ningejificha
Napiga hesabu yangu bila wewe haiwezi jipaa....ehhhhh
Nitateveva bila wehhh, Wema wako
Usiniwache kila day,nitembee na we...we...we
Nitateveva bila wehhh, Wema wako
Usiniwache kila day,nitembee na we...we...we
Nitateveva bila wehhh, Wema wako
Usiniwache kila day,nitembee na we...we...we
Nitateveva bila wehhh, Wema wako
Usiniwache kila day,nitembee na we...we...we
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Teveva (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
TIMAM
Kenya
Timam is a singer/songwriter, worshiper based in Nairobi, Kenya. His music is themed on Christian l ...
YOU MAY ALSO LIKE