Nafsi Moja Lyrics

Hii nyimbo inaweza kosa kutrend
Waseme haina Wow factor
Wanadai mamresh kwa video, Wanataka maboom boom twaff
Naomba ningepata, huyo mmoja ambaye amechoka
Anahisi there is more to Life, Hii hii nyimbo itamfaa
Hiyo Nafsi moja tu, Shuka tu
Umguzee
Tizama alivyokuja, Asirudi Vileee
Hiyo Nafsi moja tu, Shuka tu
Umguzee
Tizama alivyokuja, Asirudi Vileee
Amechoka na addiction za majani,Mavela tindi kali
Kuwaleta kejani...mfungue
Sister amechoka na Kubebwa kimandazi
Kutumika na machali,
Anatamani awe wifey, one day
Hiyo Nafsi moja tu, Shuka tu
Umguzee
Tizama alivyokuja, Asirudi Vileee
Hiyo Nafsi moja tu, Shuka tu
Umguzee
Tizama alivyokuja, Asirudi Vileee
Hiyo Nafsi moja tu, Shuka tu
Umguzee
Tizama alivyokuja, Asirudi Vileee
Hiyo Nafsi moja tu, Shuka tu
Umguzee
Tizama alivyokuja, Asirudi Vileee
Utawacha 99, Ufikie mmoja weh ni mchungaji.....Mchungaji
Utawacha 99, Ufikie mmoja weh ni mchungaji, Mwemaa
Utawacha 99, Ufikie mmoja weh ni mchungaji.....Mchungaji
Utawacha 99, Ufikie mmoja weh ni mchungaji, Mwemaa
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Nafsi Moja (Single)
Copyright : ©2021 Administered by Timam Evans.
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
TIMAM
Kenya
Timam is a singer/songwriter, worshiper based in Nairobi, Kenya. His music is themed on Christian l ...
YOU MAY ALSO LIKE