Maserafi Makerubi Lyrics

Wewe bwana unastahili sifa
Za mioyo yetu
We bwana umejawa sifa nasi
We bwana umejawa sifa za mioyo yetu
Umejawa sifa za mioyo yetu
Pokea sifa hizi bwana
Pokea sifa hizi bwana
Maserafi makerubi
Wanaimba Haleluya
Haleluya Haleluya
Haleluya Amen
Wanainama mbele zako
Kulisujudu jina lako
Haleluya wanaimba
Haleluya amen
Nasi twainama mbele zako Bwana
Kulisujudu jina lako
Tunaimba Haleluya amen
Maserafi makerubi
Wanaimba Haleluya
Haleluya Haleluya
Haleluya Amen
Nainami mbele zako
Kulisujudi jina lako
Haleluyah Haleluya
Haleluya Amen
Wanainama mbele zako
Kulisifu jina lako
Haleluyah Haleluya
Haleluya Amen
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Maserafi Makerubi (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE