Home Search Countries Albums

Utamu

MABANTU

Utamu Lyrics


Ukipunguza spidi, unapunguza utamu
Kanyaga weka spidi, unapunguza utamu
Mpaka mwisho spidi

Ucha! Unapunguza utamu
Kiru! Unapunguza utamu
Kane! Unapunguza utamu
Si wanapenda kubang, unapunguza utamu

Dj ongeza sauti alafu punguza scratch
Hizo mbwembwe zako zinatukataa
Unapunguza utamu
Alafu bosi ka unaagiza agiza crate
Mambo ya kuagizaga moja moja
Unapunguza utamu

Niaje madam kama unanipa we nipe
Sijakataa ukimwi upo ila condom
Unapunguza utamu

Alafu dada kama unakatika kata
Mambo ya kusema nisikubambie
Unapunguza utamu

Utaziambia nini pisi za town, eeh
Hazing'ooki kwa ofa za bia, eeh
Sio kidari sio kwa dola mia, eeh
Sio mashini sio kibamia, eeh

Bi dada ukifika ghetto ni mizagamuano
Mambo ya kusema subiri baadae 
Unapunguza utamu

Kama show piga show zile mambo
Baby unaenjoy au unajisikia aje
Unapunguza utamu

Waiter leta gambe, unapunguza utamu
Ongeza gambe, unapunguza utamu
Gambe, unapunguza utamu
Gambe, unapunguza utamu

Usipunguze spidi, unapunguza utamu
Ukipunguza spidi, unapunguza utamu
Kanyaga weka spidi, unapunguza utamu
Mpaka mwisho spidi, unapunguza utamu

Kibonge usiende gym mi napenda hizo nyama
Yale mambo yako ya kubana tumbo
Unapunguza utamu

Sio kigodoro sio makeup
Mi napenda ulivyo natural
Mama mtu ukifuata mkumbo
Unapunguza utamu

Nywele kajisukia, nauli kajilipia
Alafu we sekunde tano ushamwagia
Unapunguza utamu

Vipi bro anakufungulia, anakupumulia
Sasa mbona kila mara unamsifia
Unapunguza utamu

Utatuambia nini sisi mapopo, eeh
Kila siku tunalala kesho, eeh
Oya mahuni wote pepo, eeh
Na wadangaji wote pepo, eeh

Bi dada ukifika ghetto ni mizagamuano
Mambo ya kusema subiri baadae 
Unapunguza utamu

Kama show piga show zile mambo
Baby unaenjoy au unajisikia aje
Unapunguza utamu

Waiter leta gambe, unapunguza utamu
Ongeza gambe, unapunguza utamu
Gambe, unapunguza utamu
Gambe, unapunguza utamu

Usipunguze spidi, unapunguza utamu
Ukipunguza spidi, unapunguza utamu
Kanyaga weka spidi, unapunguza utamu
Mpaka mwisho spidi, unapunguza utamu

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Utamu (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MABANTU

Tanzania

Mabantu Is A Urban Boy Band From Tanzania Consisting Of Muuh Mabantu And Twaah Mabantu ...

YOU MAY ALSO LIKE