Zoa Zoa Lyrics
Oya wanangu wa kishua
Leo fullu kukamua
Shimo limetema nawaambia
Agiza chochote nitalipia
Anayetaka big pineapple
Nani nani?
Ni hao kaka kina shoboko
Nani nani?
Barafu za dongo za watoto
Nani nani?
Chumbani tulie na ukoko
Nani nani?
Nimeinama
Nimeokota kidude
Nimeinama
Nimeokota kidude
Wanangu wa kuzoa, zoa
Leo tunazoa zoa, zoa
Eeeh wanangu wa kuzoa, zoa
Leo tunazoa zoa, zoa
Wanangu wa kuzoa, zoa
Leo tunazoa zoa, zoa
Eeeh wanangu wa kuzoa, zoa
Leo tunazoa zoa, zoa
Kidume kidume
Nimeshasimama
Nimemake mapeni
mtanikoma
Sitaandikia mate
Ninaandikia wino
Yaani pesa zimejaa
Mpaka zinanizidi kimo
Kama unataka hela
Cheza kidogo sangulo
Nimeinama
Nimeokota kidude
Nimeinama
Nimeokota kidude
Wanangu wa kuzoa, zoa
Leo tunazoa zoa, zoa
Eeeh wanangu wa kuzoa, zoa
Leo tunazoa zoa, zoa
Wanangu wa kuzoa, zoa
Leo tunazoa zoa, zoa
Eeeh wanangu wa kuzoa, zoa
Leo tunazoa zoa, zoa
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Zoa Zoa (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE