Home Search Countries Albums

Jimwage

KUSAH Feat. FEMI ONE

Jimwage Lyrics


Kana vichuchu na kashepu kakuchora
Nyuma mzigo kamefungasha dondora
Kana mapigo rita ola cinderela
Katanifanya nitazimwaga na heela
Katanifanya nitakua zuzu zu
Hata sijui nimepigwa juju ju
Yani kabisa kanifanya bubu
Na ujanja wangu kwake nimetubu
Body lako umezid brown skin colour
Watu unafanya unafanya unatera
Uvae jeans uvae skiin au uvae dera
Watu unafanya unafanya unakera
Tuzunguke uwani nyonga kata slow
Shuka mpaka chini baby go down low
Tuvunje kitanda tuchane mito maaaah

Jimwaa jimwage
Jimwaa jimwage
Jimwaa jimwage
Aya fanya kama unaifata fata jimwage
Jimwaa jimwage
Jimwaa jimwage
Jimwaa jimwage
Aya fanya kama unaifata fata jimwage

Ayayai babii motto wa watu anankunywa bila chesa
Kana kata sinaki kipi vile kameweza, yuko safi safi hendsome namabizi na mapesa
Mmmh gentlemen pekee ndio mi ndai, kama ni bad boy mshow yes you my type
We ni show vile unafeel sipendi mahai pusha lugha siunajua already I like your vibe
And I like your style napenda hiyo kolone, niko na space ya mtu mmoja ingia kwa roho
Shika denje weka number kwenye phone, leta tukutane twende choo me and you alone
Tusakate nikupakate nikupe macho halafu unipe mate
Na vinote na vile uko daste, leo niko na wangu so kila mtu na wakee

Tuzunguke uwani nyonga kata shuka mpaka chin baby go down low
Tuvunje kitanda tuchane mito aaaah

Jimwaa jimwage
Jimwaa jimwage
Jimwaa jimwage
Aya fanya kama unaifata fata jimwage
Jimwaa jimwage
Jimwaa jimwage
Jimwaa jimwage
Aya fanya kama unaifata fata jimwage

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Romantic (EP)


Copyright : (C) Slide Digital


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

KUSAH

Tanzania

Kusah is a musician from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE