Kosa Sina Lyrics

Hummm hummmm Ema the boy yi ihi
Ungeniuliza wala tusingegombanaga
lla inaonekana ni mtu mwenye hasira
Kosa sina sinaga
Unanioneaga
Imani yangu Baba
Haiamini uongo sana hmmm
Kosa sina sinaga
Unanioneaga
Imani yangu Baba
Haiamini uongo sana ah
Kumekucha aah asubuhi imefika aah
Chozi lanitiririka jogoo nalo halijawikaa
Ningefanya lolote kwa ajili yako chochote
Ilu tuwe wote japo sicho unachotakaa
Uongo na visa ndio vyako
Sababu na visa vya kwako
Utemi na sifa ndio zako
Kipi ambacho sijakuguswa nacho
[CHORUS]
Nishakuwa damu mbaya ( ouweee)
Ushashikwa na wabaya (ouweee)
Mpaka huoni haya
Hizi mpaka unajiibia balaa baba
Nishakuwa damu mbaya (ouweee)
Ushashikwa na wabaya (ouwee)
Mpaka huoni haya hizi
Mpaka unajibia balaa babaa baba
Kosa sina sinaga
Unanioneaga
Imani yangu baba
Haiamini uongo sana
Sana sana aaaah
Kosa sina sinaga
Unanioneaga
Imani Yangu baba haiamini
Uongo sana sana sana sana uhmmm
Maumivu kidonda changu
Chumvi inakitosha dawa yangu Haifai iiih
Gafla mood imekuta
Gafla pozi limekata
Utasema lolote
Mradi tusiwe wote eh
Simu sijapokea mwenzako
Sivai vizuri mke wako
Nakudhalilisha mkeo
Weee bababaa
[CHORUS]
Nishakuwa damu mbaya ( ouweee)
Ushashikwa na wabaya (ouweee)
Mpaka huoni haya
Hizi mpaka unajiibia balaa baba
Nishakuwa damu mbaya (ouweee)
Ushashikwa na wabaya (ouwee)
Mpaka huoni haya hizi
Mpaka unajibia balaa babaa baba
Kosa sina sinaga
Unanioneaga
Imani yangu Baba
Haiamini uongo sana sana sana
Kosa sina sinaga
Unanioneaga
Imani yangu Baba
Haiamini uongo sana
Kosa Sina aaaaaahhh
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2017
Album : Kosa Sina (Single)
Added By : Afrika Lyrics
SEE ALSO
AUTHOR
LINAH
Tanzania
Estelina Peter Sanga aka Linah is a Tanzanian award winning singer and performer with few hits in he ...
YOU MAY ALSO LIKE