Home Search Countries Albums

Ndegele

RICH MAVOKO

Ndegele Lyrics


[VERSE 1]
Nimechili na wanaa eh na wanaa
Skani kopa kabanaa eh Tunachoma
Kuna mtoto ananyama, she too fine oh
Usiombe akichutamaa eh lawama
Unacheki my wallet budget
Usiwaze kuhusu money
Leo me nimebet nikadent
Nimepoint mtumbani
Welele mama igwee
Toroka fanya ujee
Ili goma lisitue
Lazima tu lipigwe

Huku nawaka kwakwajeroo (oyaaa)
Waliobanwa kwenye karoo (maboyaa)

[CHORUS]
Ndegele... Tam Tam... Ndegele
Ongeza mizukaa... Ndegele
Jipindee pinukaa ... Ndegele
Msamba pasuka ... Ndegele
Mamaa (Ndegele) Rukaa (Ndegele)
Tupa magongoo ... Ndegele
Cheza kikongoo ... Ndegele
Pinda Mugongo ... Ndegele

[VERSE 2]
She make me kolo yo mama yoo
Na body na reliyoo Stim za upolo
Ukimtazama yoo
unanyonga na reliyoo

Agwelenaa agwelenaa
Umenibariki kimokoo
Agwelenaa agwelenaa
Kamusuku kamusoko

Una bodi (bodi)
Unaweteka madingii
Hilo bodii (Bodii)
Shape kama shangingii

Nipe mpaka kuchu kuchu (Ndegele)
Nilambe Nyaya Mpaka Chuchu (Ndegele)
Njo Ushike na mututuu (Ndegelee)
Nisugue mpaka nitoke kutuu (Ndegelee)

[CHORUS]
Ndegele... Tam Tam... Ndegele
Ongeza mizukaa... Ndegele
Jipindee pinukaa ... Ndegele
Msamba pasuka ... Ndegele
Mamaa (Ndegele) Rukaa (Ndegele)
Tupa magongoo ... Ndegele
Cheza kikongoo ... Ndegele
Pinda Mugongo ... Ndegele

(Acha kucheza kama pop watu wote watakushangaa)
(Acha kucheza kama pop watu wote watakushangaa)

[Verse 3]
Too fine oh mama
Total am loosing my mind
Kabisa nyang’a nyang’a
Nashika natawanya (Ah eh)
Too fine oh mama
Total am loosing my mind
Kabisa nyang’a nyang’a
Nashika natawanya


[CHORUS]
Ndegele... Tam Tam... Ndegele
Ongeza mizukaa... Ndegele
Jipindee pinukaa ... Ndegele
Msamba pasuka ... Ndegele
Mamaa (Ndegele) Rukaa (Ndegele)
Tupa magongoo ... Ndegele
Cheza kikongoo ... Ndegele
Pinda Mugongo ... Ndegele

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Ndegele (Single)


Added By : Afrika Lyrics

SEE ALSO

AUTHOR

RICH MAVOKO

Tanzania

RICH MAVOKO is  a musician from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE