Home Search Countries Albums

Niache Lyrics


Hhhhmm
Eti nikuombee mema
Na baraka uzidi fanikiwa
Siwezi kamwe wala (Hhhhmm)
Ni sawa na kuiforce sinema
Kuitazama na haijanivutia
Lazima tu ntalala (Oooh)
Na kwa barabara ukipita

Nenda kulia ukiniona kushoto
Sitaki hata tuonane (Hhhhmm)
Usije wala ukaniita
Donda vilia utanchochea tu moto
Nisije nkutukane (Hhhhmm)
Kinachoniumiza nafsi
Kunisikitisha kwa watu Kujishongondoa

Kumbe mapenzi Hisabati wakati nayazidisha
Mwenzangu Nje unayatoa
Wewe cement mimi mchanga
Nkasema Penzi tujenge lisije loa
Najitia mkandarasi naezeka mabati
Wewe chini kenchi unabomoa
Niache...!

Niache...!
Niaache...! Oh Niache
Niache...!
Nipambane na moyo wangu
Niache...! (Niiaaa...!)
Niache...! (Moyo wangu una hasira)
Niaache...! Oh Niache

Niache...!
Oooh Oh!
Najitahidi nisilale kwenye kitanda
Huenda ntapunguza ndoto zako
Hhhhmm
Mwilini nina machale utadhani mwanga
Yote kuusahau uwepo wako

Hhhhmm
Laiti kama ningekuwa gari
Ningekugonga barabarani
Ama nyuki mtoa asali
Nkung'ate sura wasiitamani
Hivi wewe ungo ulivunja mwali

Ama ulivunja sahani
Kuniundia mateam kwa mitandao
Vijembe vya kazi gani
Kinachoniumiza nafsi
Kunisikitisha kwa watu Kujishongondoa
Kumbe mapenzi Hisabati wakati nayazidisha

Mwenzangu Nje unayatoa
Wewe cement mimi mchanga
Nkasema Penzi tujenge lisije loa
Najitia mkandarasi naezeka mabati
Wewe chini kenchi unabomoa
Niache...! Oooh Niachee

Niache...! (Mimi moyo wangu una hasira)
Niaache...! (Tena ukae mbali)
Niache...! (Oooh Niachee)
Niache...! (Usiwapigie rafiki zangu)
Niache...! (Usithubutu hata simu yangu)
Niaache...! (Chonde tafadhali)
Niache...! (Niiaaa...!)

Iyoo Lizer
Hhhhmm
Ntakudanganya kwa tabasamu
Ntakudanganya kwa kucheka
Ntakudanganya hata kwa salamu

Ila moyoni nakuchukia
Nitakudanganya kukufollow
Nitakudanganya kucomment
Nitakudangaya kulike picha
Ila siwezi kukuzimia
Mfyuuuuuuu

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2017


Album : Niache (Single)


Copyright : (c)2017


Added By : Trendy Sushi

SEE ALSO

AUTHOR

DIAMOND PLATNUMZ

Tanzania

Naseeb Abdul Juma ( born on 2nd October 1989 ), popularly known by his stage name Diamond Platnumz, ...

YOU MAY ALSO LIKE