Home Search Countries Albums

Enta

BENZEMA

Enta Lyrics


Hujalala, sijalala
Kuna venye leo enta inabamba
Hujalala, sijalala
Kuna venye leo enta inabamba

Enta ina bamba
Enta ina ba

Highschool yenu mlikuwa mnavaa shorts
Sisterschool wamebeat but ni ma chop
Piri wa DH alikuwa robocop
Mode wa chem alikuwa ameoa goldinok

Saa ya ramza mamorio wanachana
Pano ya wiki kijana lima shamba
Jembe inakuachia blisters na alama
Dem wako amevaa Bata na ni skanga

Hujalala, sijalala
Kuna venye leo enta inabamba
Hujalala, sijalala
Kuna venye leo enta inabamba

Enta ina bamba
Enta ina bamba
Enta ina bamba
Enta ina bamba

Wanafunzi wamejipin na shada
Na walalo wamejaza jaba kwa juala
Spy wa mode wa phyzo, Mr Karanja
Fullscap ya cabbage mfupa ya nyama

Ssssh, Alejandro 
Wacha kumake noise kwa daro
Ssssh, Alejandro 
Tangu class 2 umehepa pano

Hujalala, sijalala
Kuna venye leo enta inabamba
Hujalala, sijalala
Kuna venye leo enta inabamba

Enta ina bamba
Enta ina bamba
Enta ina bamba
Enta ina bamba

Drama inakamu
Leo tunaruka kuruka
Homu hujafanya
Leo utajuta kujuta

Front benchers hawakuwa na mutaratara
Shati mpya nimekula mono fala, aii mono fala
Saa ya P.E mi nadai tukuwe machang'aa

Enta ina bamba
Enta ina bamba
Enta ina bamba
Enta ina bamba

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Enta (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

BENZEMA

Kenya

Benzema David aka Alejandro is a Kenyan rapper/artist from Ochungulo family which is one of the best ...

YOU MAY ALSO LIKE