Angela Lyrics
Ooh beiby kwako nataka kiwanja
Unipe moyo nijenge
Usijali kuhusu mikwanja iyee
Kwetu imejaaga tele
Nikubalie kwako sio ujanja ujanja
Mmh taratibu nizoeee
Mshua ndo mmikliki wa kiwanda
Kwetu tuna vyumba usiongee
Viswagga kama vya Tanasha Donna
Sauti Wema wa Diamond
Lips futa kama nyama choma
Kwako moyo naweka bondi
Oh oh oh yaani mateka
Siongei sikimbii mwenzio
Oh oh oh venye umenisweka
Nasubiri tu useme ndio
Oh oh oh nifanye ndume ndezi
Nipeleke unavyotaka
Oh oh oh shida yangu ni mapenzi oh
Mapozi yako na maringo (Angela)
Kweli nitapata bingo (Angela)
Nimejihirizi kwenye shingo (Angela)
Nihurumie niko single (Angela)
Mapozi yako na maringo (Angela)
Kweli nitapata bingo (Angela)
Nimejihirizi kwenye shingo (Angela)
Nihurumie niko single (Angela)
Hivi beiby, chips hii zege inapanda
Au tukale mihogo koko kwa vibanda
Mmmh nikulinde wangu chanda
Nawe unifunge kama mkanda
Bora niwe mtumwa wa mapenzi
Kuliko nikukose wewe
Wewe ni refa umenivua jezi
Ninachoomba saa nipewe
Gari limefunga breki (Breki)
Kituo cha kwanza ni wewe
Usijali na bujeti (Jeti)
Jimalize mwenyewe
Oh oh oh yaani mateka
Siongei sikimbii mwenzio
Oh oh oh venye umenisweka
Nasubiri tu useme ndio
Oh oh oh nifanye ndume ndezi
Nipeleke unavyotaka
Oh oh oh shida yangu ni mapenzi oh
Mapozi yako na maringo (Angela)
Kweli nitapata bingo (Angela)
Nimejihirizi kwenye shingo (Angela)
Nihurumie niko single (Angela)
Mapozi yako na maringo (Angela)
Kweli nitapata bingo (Angela)
Nimejihirizi kwenye shingo (Angela)
Nihurumie niko single (Angela)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Nipokee/ Angela (EP)
Copyright : (c) 2020 Lykos Empire 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
PRODUCER BONGA
Tanzania
Producer Bonga is a Musician | Sound Engineer | Music Producer signed under Lykos empire from Tanzan ...
YOU MAY ALSO LIKE