El Shaddai (H_art the band Cover) Lyrics
El Shaddai
Uko na kile me nadai
Ulinipenda hata Kama me sifai
El Shaddai
El Shaddai
El Shaddai
Uko na kile me nadai
Ulinipenda hata Kama me sifai
El Shaddai
El Shaddai
El Shaddai
He is an awesome God
Amenipa such an awesome song
And I'm never lonely
Amenipa such an awesome love
He is an awesome God
And I wanna tell it to the world
Ili wajue ni wewe
Kama si wewe basi Nani
Naskia landlord-i
Ako Kwa njia anataka kodi
Ni wewe utaprovide
Na nina ngori moyoni zinanijaza worry
Ila nitakuwa fine
El Shaddai
Uko na kile me nadai
Ulinipenda hata Kama me sifai
El Shaddai
El Shaddai
El Shaddai
Uko na kile me nadai
Ulinipenda hata Kama me sifai
El Shaddai
El Shaddai
El Shaddai
Every day, every day
Is an awesome day
Na vile Unanibariki
Hata Mimi sielewi
And everyday everyday
You come through in an awesome way
Hakuna dhiki
Nimepata rafiki
Rafiki wa kweli
Na kuna ka-loan mahali
Kalinijaza worry
Ni wewe utaprovide
Nina-mahari natamani kulipia mpenzi
Sote tutakuwa fine
Na madaktari wanasema hali sio hali
Wewe unajua time
Nahisi nguvu Zako kwangu
I will call you El Shaddai
El Shaddai
Uko na kile me nadai
Ulinipenda hata Kama me sifai
El Shaddai
El Shaddai
El Shaddai
Uko na kile me nadai
Ulinipenda hata Kama me sifai
El Shaddai, El Shaddai, El Shaddai
Uko na kile me nadai
Ulinipenda hata Kama me sifai
El Shaddai
El Shaddai
El Shaddai
Uko na kile me nadai
Ulinipenda hata Kama me sifai
El Shaddai
El Shaddai
El Shaddai
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : El Shaddai (H_art the band Cover) (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
WALTER CHILAMBO
Tanzania
WALTER CHILAMBO is a Gospel Singer and Song Writer from Tanzania. He was the winner at Epic Bo ...
YOU MAY ALSO LIKE