Home Search Countries Albums

Nishahema(Tetema parody)

PADI WUBON

Nishahema(Tetema parody) Lyrics


 

Haya twende mapema kwa hema,leo ma nakuteka
Nitakutandika utahema, leo mama utahema
Haya twende mapema, leo ni matecno
Tequilla mbili chini ma, leo mama utakemba

Utahema, hadi ukae ni kama umepigwa shocki
Utahema, hadi utoe jasho kwa magoti
Utahema, hata upige nduru mi sitoki
Utahema, kwanza vile nina shida ngoja

Katoto kamenona(ooh mama)
Nikapandishe za Bungoma(ooh mama)
Kanyamazisha bonga bonga(ooh mama)
Nishachoka kukungoja(ooh mama)

Aai mama, hii time
Nakufa woiii grhh...
Aai aaai baba, aaai toka
Fire motoo... grhh...

Haya toka nishahema...oooh mama nishahema
Sikutandiki tena ma...oooh mama tena ma
Haya mama nishatema ...oooh mama nishatema
Shuka chini nishahema...oooh mama nishahema

Haya toka nishahema...oooh mama nishahema
Sikutandiki tena ma...oooh mama tena ma
Haya mama nishatema ...oooh mama nishatema
Shuka chini nishahema...oooh mama nishahema

Nishahema yaani mpaka mimi naregreti
Nishahema ni kama mimi siku hizi miereka
Nishahema unapenda kudungwa na unateta
Nishahema chini nikipepeta carbureta

Asa woi, ngoja , siwezi cheza ndogo
Tushapasua tuseng'eng'e
Nalia woi, coz tungi limepause
Twende nikuitie kirende(siutorokee)
Dume inakaa ka fala, falaa fala
Si unihurumie mimi na Collo, Colloo, Collo

Wacha! saa zote ni digi digi
Wacha! na manduru za hihihihi
Wacha! kitandani ni ulinigwiji gwiji
Wacha! niko mnyonge na nina zidi zidi 
(heehe!)

Oooh mama nishahema...
Sikutandiki tena ma...oooh mama tena ma
Haya mama nishatema ...oooh mama nishatema
Shuka chini nishahema...oooh mama nishahema

Kichwa kime kime kimembamba
Apewe ...who?(kime kimembamba)
Apewe whaaah (kime kimembamba)
Apewe what? (kime kimembamba)
Apewe fogoo (kime kimembamba)
Apewe kwalalala (kime kimembamba)
Apewe pugu (kime kimembamba)
Apewe chia...

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Nishahema (Single)


Copyright : All rights to the owner/artist.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

PADI WUBON

Kenya

Padi Wubonn is a famous Kenyan based Comedian,Mc, actor,script writer,film director, song writer, gy ...

YOU MAY ALSO LIKE