Home Search Countries Albums

Mama Zao / Baba Lao Parody

PADI WUBON

Mama Zao / Baba Lao Parody Lyrics


Tumepigwa mti na baba zao(Baba zao)
Sisi ndio mama lao(Maba zao)
Si baba zao(Baba zao)
We ndio baba yao(Baba yao)

Eeeh sioni baba zao (Baba zao)
Tadupuli baba zao(Baba zao)
Wakwende baba zao(Baba zao)
Hatuogopi makarao(Makarao)

Mdomo kwa moko nangoja koko
Leo mwanaume alete zogo
Naeza kumuingia ngoto ngoto
Moja baridi moja moto

Mmechoka eti?(Aaah wapi)
Mnataka lala?(Aaah wapi)
Tumbo limezidi?(Aaah wapi)
The baby is kicking(Aaah wapi)

Chunga usitapikiwe songa hapa
Mtoto amenyamba nina heartburn
Kiuno vile imeganda
Hadi ninanuka msamba

Leta baiskeli(Saa wapi)
Twende maternity(saa wapi)
Kashafungulikana(Aaah wapi)
Kameshafungulikana(Aaah wapi)

Tumepigwa mti na baba zao(Baba zao)
Sisi ndio mama lao(Maba zao)
Si baba zao(Baba zao)
We ndio baba yao(Baba yao)

Eeeh sioni baba zao (Baba zao)
Tadupuli baba zao(Baba zao)
Wakwende baba zao(Baba zao)
Hatuogopi makarao(Makarao)

Sitaki usengenyo
Mwambie mapema(Mapema)
-Kafanya
Kwa shimo alitema(Alitema)

Anyakue -- alafu anahepa
Eeeh huwezi hepa
Nabaki kusononeka
Eeeh huwezi hepa

Kwanza akinikatie(Eeh alikukatia)
Ashanipiga kitu
Anacheza kama monkey 
Kuja unikande kande 

Eeh tunawatafta (Vidume)
Wakishanoki(Vidume)
Ukiinua faster(Vidume)
Wanachapachapa(Mchunge)

Chizi utarogwa tena
Chizi chizi utarogwa tena eeh
Chizi utarogwa tena
Chizi chizi utarogwa tena eeh

Chizi utarogwa tena
Chizi chizi utarogwa tena eeh
Chizi utarogwa tena
Chizi chizi utarogwa tena eeh

Tumepigwa mti na baba zao(Baba zao)
Sisi ndio mama lao(Maba zao)
Si baba zao(Baba zao)
We ndio baba yao(Baba yao)

Eeeh sioni baba zao (Baba zao)
Tadupuli baba zao(Baba zao)
Wakwende baba zao(Baba zao)
Hatuogopi makarao(Makarao)

Nakumbuka akipanda 
Na hili shati alivua(Kata mhogo)
Nakumbuka akipanda 
Na ya ndanu alivua (Kata mhogo)

Inua inua(Kata mhogo)
pendua pendua(Kata mhogo)
Eeeh tunanuka makwapa 

Basi napiga Yope(Huwezi)
Mimi napiga Yope(Huwezi)
Walahi napiga Yope(Huwezi)
Mimi napiga Yope(Huwezi)

Eeh! Eeh! Eeeh! Eeeh!..Eeeeeh!
Eh! Eh! Eh! Eh Eh... Eeeh! 

Basi napiga Yope(Huwezi)
Mimi napiga Yope(Huwezi)
Walahi napiga Yope(Huwezi)
Mimi napiga Yope(Huwezi)

Eeh! Eeh! Eeeh! Eeeh!..Eeeeeh!
Eh! Eh! Eh! Eh Eh... Eeeh! 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Mama Zao / Baba Lao Parody (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

PADI WUBON

Kenya

Padi Wubonn is a famous Kenyan based Comedian,Mc, actor,script writer,film director, song writer, gy ...

YOU MAY ALSO LIKE