Shamra Shamra Remix Lyrics
London, London
(Black Market Records)
It's your favourite boy
Kashkeed on the track
Sipendi kukeleleshwa, wikendi niko Kileleshwa
Nilikuwa nimeshika watchi mashati
Tulikuwa tuko bash hvi mamosh tukiburn mazigi
Kumbe watchi ametuseti kwa mdosi
Shamra shamra kelele na mapekele za keroro
Alafu kumejaa moshi (Wee)
Ukiranda randa huku ndani kwa hii party
Utapatana na mangeus ka 40
Na wako so naughty na wanaitisha noti
Uzuri niko na float so sikosi
Drip glow mikosi na vybe ni vitu cozy
Na barz zangu huwa chuma ya doshi
Shamra shamra
Kisham-sham kinyam kitam shamra-sham
Kisham-sham kelele na nderemo (oo-wee!)
Kisham-sham kinyam kitam shamra-sham
Kisham-sham kelele na nderemo (ayayaya!)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Three Wise Goats (Album)
Copyright : (c) 2022
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MBUZI GANG
Kenya
Mbuzi Gang is a group of 3 artists; Joefes 254, iPhoolish and Fathermoh from Kenya. Signed ...
YOU MAY ALSO LIKE