Fikra za Bahati (Parody) Lyrics
Mmmh ni bahati tena mama
Bahati mmetusomea lakini
Mlisahau mtu wa kawaida
Mimi nalilia mtu wa duka
Mtu wa duka enda ulilie mtu wa wholesale
Mtu wa wholesale enda lilia serikali
Labda hio kilio yetu itafika
Mlianza na mkate, mkate ilikuwa gram mia tano
Saa hizi ni gramu mia nne na bado mmejazilia hewa
Mkaingililia donought mkatoboa shimo hapo katikati
Hio ngano ya hapo katikati mlipeleka wapi?
Mandazi ukinunua imejazwa presha
Yaani mnatuachia ngozi ndo tukule aki Kenya
Chewing gum siku hizi ni mtaro mtaro
Hio nyama ya hapo katikati mnapelekanga wapi?
Serikali si hata siku moja mtudanganye na samosa ya kona nne
Lolipop mjaze hata ifike chini
Ati mosquito coil siku hizi haina harufu
Yaani umbu zimeshindwa kupanga uzazi
Mwarubaini si ilikuwa inatibu zaidi ya ugonjwa arubaini
Saa hizi haitibu hata moja mlifanyia nini hio mti?
Toilet paper familia nzima wiki moja ni 20 bob
Daiper ya kinyesi lisaa limoja 30 bob
Ati condom shilingi mia mbili
Na msichana ameingia box
Na njugu sukari nguru na sim sim ya 30bob
Jik litre moja ni 70 bob
Maziwa litre moja ni 120
Yaani sumu ni cheap kushinda kitu ya afya eey
Ati sigara ni 20 bob na bangi ni 50 bob
Lakini bangi ni nono
Yaani nimenunua bulb shilingi hamsini
Niende nikapate bill ya stima ya mia tano
Msichana anakulaje fare yako
Na sabuni ya kipande ni 80 bob
Kenya alafu always kukinyesha ndio kiangazi inaanza
Sema kutry
Mnaongeza bei ya mafuta ya taa
Mmeongeza bei ya mafuta ya petroli
Tunangoja muongeze bei ya hii mafuta
Hii nayo mkiongeza mtajua kugoma ni nini
Aaaiii hii nayo tunagoma
Basic need aki Kenya ni kama tulirogwa
Aki ni kama tulilaaniwa
Tunafaa tu tupelekwe shule wiki
We go spell the word bahati
Tumerogwa mpaka kwa maduka
Tunafaa tutupe hii DK kwenye bit
Mbaki na UA ju mtatuua na hizi maujinga zenyu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Fikra za Bahati (Parody) (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
PADI WUBON
Kenya
Padi Wubonn is a famous Kenyan based Comedian,Mc, actor,script writer,film director, song writer, gy ...
YOU MAY ALSO LIKE