Home Search Countries Albums

Nalia Lyrics


Vera Sidika…

[VERSE 1]
Wajua mwanzo
Nilivyokupendanga mi siamini
Ata kisema nilijua ntimoshobana kwa bini
Moyo ulijaa raha
Wema nyusi tisini
Kumbe jasusu alojaa njaa
Yani bisho waa mjini
Chochote nilikupa
Bila hofu sapoti one way
Kuhusu pesa ukiomba
Nilihisi zaidi ya kupe
Sikujali nikakueka ndani mengi nisijue
We dereva njiani mi suka matatani

[CHORUS]
Nalia, Nalia
Nalia, Nalia
Oh Nalia (Aah aah)
Kwa hasara nlizopata kwako
Nalia, Nalia
Nalia, Nalia
Oh Nalia (Aah aah)
Kwa hasara nlizopata kwako

[VERSE 2]
Sikujua kuwa bingwa wa kudanga
Wakamua hela we majanga
Ukageuza kwangu ikawa kiwanda
Kumicheza cheza ka kinanda
Aah tembea tembea aah tembea
Echa chusho laugh basi tembea
Penzi langu kwako lishalegea
Ulishataka kiki na ushambembea
Potea kemea
Mbio zako ukingomi ushafulia
Jaribia pote utaridhia
Shamba lako sokwe washavunia

[CHORUS]
Nalia, Nalia
Nalia, Nalia
Oh Nalia (Aah aah)
Kwa hasara nlizopata kwako
Nalia, Nalia
Nalia, Nalia
Oh Nalia (Aah aah)
Kwa hasara nlizopata kwako

[BRIDGE]
Ujauzito wako, nilotoa mie
Chanzo cha kukosana nami
Aaah uongo
Mzushi mzushi maadilii
Aibu unadangalia popote
Aah uongo

Ujauzito wako, nilotoa mie
Chanzo cha kukosana nami
Aaah uongo
Mzushi mzushi maadilii
Aibu unadangalia popote
Aah uongo

[CHORUS]
Nalia, Nalia
Nalia, Nalia
Oh Nalia (Aah aah)
Kwa hasara nlizopata kwako
Nalia, Nalia
Nalia, Nalia
Oh Nalia (Aah aah)
Kwa hasara nlizopata kwako

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Nalia (Single)


Added By : Afrika Lyrics

SEE ALSO

AUTHOR

VERA SIDIKA

Kenya

Vera Sidika is a Kenyan recording artist, television and social media personality, video vixen and e ...

YOU MAY ALSO LIKE