Home Search Countries Albums

D-Day

FEMI ONE

D-Day Lyrics


Kuna form basi si tufike
Tusifike mapema ndio tusipike
Sidhani ka nitalala si kesho ni D-Day
Ju nikipitwa na fom hakunanga replay

Mimi na masela tunacelebrate
Sape kwa kibeti nikama ni benki
Olunga kuball si vako ni messi
Na sitaki fom ka shangwe haileti

Oya, waiter cheza ka wewe si uitishe upewe 
Itisha mzinga si uimimine ulewe
Na kama huna ndai oya ita cab bana
Don't drink and drive usikam sana

Leo ni parte after parte
Akitaka mate apakatwe
Marinate after mpata kwake
Na kama ye ni thirsty mi ni jipate

Kuna form basi si tufike
Tusifike mapema ndio tusipike
Sidhani ka nitalala si kesho ni D-Day
Ju nikipitwa na fom hakunanga replay

Kuna form basi si tufike
Tusifike mapema ndio tusipike
Sidhani ka nitalala si kesho ni D-Day
Ju nikipitwa na fom hakunanga replay

Bossy, sema kidosi
Kama ni ganji na maji we hunikosi
Si tuko huku na huku kama majonzi
Kama we ni hater apana leta mikosi

Sitaki mchele wapi pekelee
Rende yangu ngori kanaweza nuka
Pimisha kilo tatu na uwekelee
Halafu kachumbari na usipime unga

DJ si uspin ka kwa bakery, mmh ka kwa bakery
Na ma wanabee wana mmh kama fakery
Mmh Wana fakery mmh kama fekery
DJ si uspin kama  vile pale bakery

Kuna form basi si tufike
Tusifike mapema ndio tusipike
Sidhani ka nitalala si kesho ni D-Day
Ju nikipitwa na fom hakunanga replay

Kuna form basi si tufike
Tusifike mapema ndio tusipike
Sidhani ka nitalala si kesho ni D-Day
Ju nikipitwa na fom hakunanga replay

Bossy, sema kidosi
Kama ni ganji na maji we hunikosi
Si tuko huku na huku kama majonzi
Kama we ni hater apana leta mikosi

Kuna form basi si tufike
Tusifike mapema ndio tusipike
Sidhani ka nitalala si kesho ni D-Day
Ju nikipitwa na fom hakunanga replay

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : D-Day (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

FEMI ONE

Kenya

Shiko Femi One real name Wanjiku Kimani (born 25th April, 1994) is a performing and r ...

YOU MAY ALSO LIKE