Stori ni Gani Lyrics
Sema Stori Ni Gani
Utanipata mtaani
Nimechill Kejani
Karibu Chai ya Majani
Ayo ayo
Form ya Leo nothing but chill mode
Simu sishiki sitaki mipango
Kukaa commando nikikula machapo
Kuwatch mother in law hata sijaosha nguo
Todays gonna be that day where I throw all my troubles away
I don't know bout you but I'm here to stay
No worries or cares its gonna be a good day
No worries or cares its gonna be a good day
Leo Leo Leo asemaye kesho ni mwongo
Leo Leo Leo asemaye kesho ni mwongo
Sema Stori Ni Gani
Utanipata mtaani
Nimechill Kejani
Karibu Chai ya Majani
Stori Ni Gani
Utanipata mtaani
Nimechill Kejani
Karibu Chai ya Majani
Usiniulize maswali
Bado najivinjari
Maisha ni ngori lakini
Bado nina imani
Usijipe pressure mingi
Bado masiku ni nyingi
Najua Mola Yu Nami
So mimi siogopi
Leo Leo Leo asemaye kesho ni mwongo
Leo Leo Leo asemaye kesho ni mwongo
Sema Stori Ni Gani
Utanipata mtaani
Nimechill Kejani
Karibu Chai ya Majani
Stori Ni Gani
Utanipata mtaani
Nimechill Kejani
Karibu Chai ya Majani
Mimi na mabeshte we got no worries tunaget down
Mos mos polepole
Tingiza kiuno tunaget down
Mimi na mabeshte we got no worries tunaget down
Mos mos polepole
Tingiza kiuno tunaget down
Chini kwa chini
Down you just got to get down
Down everybody get down
Sema Stori Ni Gani
Utanipata mtaani
Nimechill Kejani
Karibu Chai ya Majani
Stori Ni Gani
Utanipata mtaani
Nimechill Kejani
Karibu Chai ya Majani
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : My Way (EP)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
WENDY KAY
Kenya
Wendy Kay real name Wendy Kemunto is a Singer, Songwriter, Producer from Kenya. ...
YOU MAY ALSO LIKE