Yule mbaya Lyrics
Moyo Wangu Aliumiza Vibaya Nanusurika kua Hai,
Nanusurika kua Kua Hai Na Kidonda Ndugu
Alionipa Kina Maliza Tu Dawa Katu Hakiponi Ooh Akiponi!!
Ila Kumuacha Ndio Siwezi Moyo Umemchagua
Yeye japo Najua Hanipendi Kua Naye Sitaki,
Ila sina budi Moyo Unamuitaji
(Nampenda Anajua ndio Mana Anajisheua Moyo
Una kina Kirefu Kilichonieka Kwake ndo sijaelewa×2)
(Aaghaaghaagh Haya Mapenzi Hayana Macho
Aaghaaghaagh Masikini Moyo Wangu kapenda Mahala sipo x2)
(Yule mbaya Ndo nimpendaye
Yule mbaya Ndio nimtakaye
Yule mbaya ndio nimpendaye
Nafsi Mtumwa wa Moyo x2)
Kweli Nafsi Mtumwa wa Moyo
Niliishia kumkumbatia nilipomfunia wazi wazi na jamaa
Aliporudi nikampokea ila akanizuga tena na tena
Mdomoni mchungu ila nimeshindwa kumtema
(Sipougenini ila ni kweusi Anachothamini
Fulusi tatizo mimi mfupi vyangu vyaliwa kichwani x2)
(Aaghaaghaagh Haya mapenzi hayana Macho
Aaghaaghaagh Masikini Moyo Wangu Kapenda Mahala sipo ×2)
(Yule Mbaya ndio nimpendaye
Yule mbaya Ndio nimtakaye
Yule mbaya ndio nimpendaye
Nafsi Mtumwa wa Moyo ×2)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2017
Album : Yule Mbaya (Single)
Copyright : (c)2017
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
OTILE BROWN
Kenya
Otile Brown real name Jacob Otieno Obunga (born on 21st March 1994) is an urban contemporary musicia ...
YOU MAY ALSO LIKE