Umeshangaza Wengi Lyrics

Umeshangaza wengi Bwana Yesu
Tena kwangu nami nishangaee
Umeshangaza wengi Bwana Yesu
Tena Kwangu Nishangaee
Unastaajibisha Bwana Yesu tena Kwangu
Nami nishangaee
Tena Kwangu na Mimi nishangaee
Tenaaa na Mimi nishangaee
Tena na kwangu Bwana na Mimi nishangaee
Tuliamua tunakmba nao wote wamepata majibu
Nami bado
Tena na kwangu bado
Tenda kwangu nami nishangaee
Tuliokua tunashirikia mateso yetu wote wamefanikiwa
Na Mimi bado
Tenda Nami nishangaee
Tenda na Mimi nishangaee
Tenda na Mimi nishangaee
Tenda na Mimi nishangaee
Bwana umeahidi
Na Mimi nishangaee
Tenda kwangu na Mimi nishangaee
Umeshangaza wengi Bwana Yesu
Tenda kwangu na Mimi nishangaee
Umeshangaza wengi Bwana Yesu
Tenda kwangu nami nishangaee
Tenda na Mimi nishangaee
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Umeshangaza Wengi (Album)
Copyright : ©2019
Added By : Its marleen
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE