Nakushuku Lyrics
Eti juzi juzi, ulinambia unakuja
Wala haukufika kwangu
Eti juzi juzi, ulinambia unakuja
Wala haukufika kwangu
Kila nikipiga wewe waja
Wewe waja wala hufiki
Kila nikipiga, we waja we waja
Wewe waja wala hufiki
Juzi nilikuona, Nilikuona
Kwenye Gari lako....mmmhh
Ukageuza kichwa, ukageuza kichwa
Ukanitazama ukaangalia kando
Ile simu, ile simuu
Niliyopiga haukuipokea
Ile simu, ile simuuu
Iliniuma sana aaaaah
Baby Nakushuku wewe
Nakushuku wewe
Baby Nakushuku wewe
Nakushuku wewe
Baby Nakushuku wewe
Nakushuku wewe
Baby Nakushuku wewe
Nakushuku wewe
Nimesikia mwanaume akipendwa, hujilegeza
Hutaka bembelezwa, yote nimefanya
Nimesikia mwanaume akipendwa, hujidekeza
hutaka bembelezwa, yote nimefanya
Ila unaniumiza nafsi
Moyo Unalalama aah
Usiku nakuwaza
Ila unaniumiza nafsi
Moyo Unalalama aah
Kwa kuwa nakupenda
Kama kuna mwenzangu
Mwambie namuita,
Aje tuelewane
Sina shida ya we kuwa na wawili
Kama kuna mwenzangu
Mi sina shida aaaah
Muje tuelewane
Kuliko kufichaficha aaah
Baby Nakushuku wewe
Nakushuku wewe
Baby Nakushuku wewe
Nakushuku wewe
Baby Nakushuku wewe
Nakushuku wewe
Baby Nakushuku wewe
Nakushuku wewe
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Nakushuku (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE