Mama Zuri Lyrics
Carribean, Carribean gal Carribean
Carribean, Carribean gal Carribean
Cologne harufu yako cologne
Cologne huhitaji tena cologne
Cologne jasho lako cologne
Cologne huhitaji tena cologne
Carribean, Carribean Carribean
Njoo karibu yangu
Mama zuri, zuri, zuri
Njoo karibu yangu
Nilikwambia ndoto, nikakwambia msoto
Nikakwambia nilipopata nikafunga goli
Na sikuficha nilipokosa niliposaga sorry
Na hukuwahi kuchukia wala kuwa sorry
Mama zuri beiby una busara crazy
Ni vizuri akra nzuri akiridhi mpenzi
Na baba zuri beiby mi na utu deadly
Ni vizuri akra nzuri akiridhi mpenzi
Kwa wote wanafiki mi ni Boko haram
Umbea wakileta wape sura sanam
Ujumbe siandiki maana sina kalam
Kilio wamesubiri tumeleta karam
Cologne harufu yako cologne
Cologne huhitaji tena cologne
Cologne jasho lako cologne
Cologne huhitaji tena cologne
Carribean, Carribean Carribean
Njoo karibu yangu
Mama zuri, zuri, zuri
Njoo karibu yangu
Lengo langu
Nataka uzibe mwanya wa mapengo yangu
Ili nibadili mienendo yangu
Ni wewe nikufanye kuwa tendo langu
Upendo wangu
Kama unaugua mami mi stoki
Napiga pasi nafua na mi sichoki
Juice burger nachizi kwa mishikaki
Natoka shavu kwa bedi six pack
Naringa mpaka madem wananishtaki
Kitambi mpaka machizi wananiswaki
Is me my nigga with you my nigga
Mi nawe ni wana sana beiby you my nigga
Nikki is the boy with the flow
Mtakatifu ndani atuongoze Allah
Promise taratibu nitatimiza promise
Nikiwa na kukiss, si kumbuka promise
Carribean, Carribean
Njoo karibu yangu
Carribean, Carribean
Njoo karibu yangu
Cologne harufu yako cologne
Cologne huhitaji tena cologne
Cologne jasho lako cologne
Cologne huhitaji tena cologne
Carribean, Carribean Carribean
Njoo karibu yangu
Mama zuri, zuri, zuri
Njoo karibu yangu
Zuri, zuri, zuri
Njoo karibu yangu
Njoo karibu yangu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Mama Zuri (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE